Connect 2 Connect

0
109

Katibu Mkuu wa wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Jim Yonazi akishiriki kongamano la kuunganisha wadau wa wote wa TEHAMA wakiwemo wa miundombinu kutoka ndani na nje ya nchi (Connect 2 Connect, C2C) linalofanyika mkoani Dar es Salaam.

Kongamano hilo lilifunguliwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye hapo jana litafungwa leo na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa serikali ya Mapinduzi Zanzibar Dkt. Khalid Suleiman Mohamed.