


Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi (ARU) Profesa Evaristo Liwa akimkabidhi mwanafunzi bora wa Mwaka katika masomo yote Hellen Shita wakati wa hafla ya kukabidhi tuzo kwa wanafunzi waliofanya vizuri kwenye masomo yao. Kushoto ni Naibu Makamu Mkuu wa Chuo –Taaluma, Profesa Gabriel Kassenga na Naibu Makamu Mkuu wa Chuo-Mipango, Fedha na Utawala, Profesa Carolyne.