Kitaifa Chongolo awasili Mtwara By TBC - July 16, 2023 0 100 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Daniel Chongolo @daniel_godfrey_chongolo amewasili mkoani Mtwara kwa ziara ya kikazi ya siku moja. Katika uwanja wa ndege wa Mtwara, Chongolo amepokelewa na viongozi mbalimbali wa mkoa wa Mtwara.