Chipeta Balozi wa Tanzania The Hague

0
93

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Caroline Chipeta kuwa Balozi wa Tanzania, The Hague nchini Uholanzi.

Balozi Chipeta alikuwa Mkurugenzi wa kitengo cha Sheria wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Uteuzi huo unaanza mara moja.