Kitaifa Chanjo ya homa ya mapafu ya ng’ombe By Judith Ene Laizer - September 4, 2019 0 151 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Waziri wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina akizindua chanjo ya homa ya mapafu ya ng’ombe (CBPP), uzinduzi uliofanyika kitaifa katika kijiji cha Mafizi wilaya ya Kisarawe mkoa wa Pwani, ambapo dozi moja ya chanjo hiyo kwa ng’ombe ni Shilingi 250.