CCM yashinda Ngorongoro

0
163

Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Ngorongoro, Dkt. Jumaa Mhina amemtangaza Mgombea wa CCM, Emmanuel Shangai kuwa Mbunge wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 62,017 dhidi ya wagombea wengine.

Mgombea wa ACT Wazalendo amepata kura 170 na Saimon Ngilisho wa Demokrasia Makini amepata kura 105.