BUNGE LA 12 MKUTANO WA 7 KIKAO CHA 32

0
117

Baadhi ya wabunge wakiwasili katika ukumbi wa bunge jijini Dodoma, kushiriki vikao vya bunge la bajeti kwa mwaka wa fedha 2022/2023.

Leo wabunge wanaendelea kujadili bajeti ya wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023 iliyowasilishwa bungeni hapo jana na Dkt. Angeline Mabula waziri wa wizara hiyo.

bunge #bungeni #dodoma