Bilionea wa Tanzanite aeleza atakavyotumia pesa yake

0
559
Saniniu Laizer bilionea wa Tanzanite aeleza atakavyotumia fedha zake, bilioni 7.74″

Saniniu Laizer anasema moja kati ya vitu anavyotaka kufanyia pesa yake aliyoipata baada ya kuiuzia serikali madini ya Tanzanite yenye uzito wa kilogram 14 ni pamoja na kujenga ukumbi mkubwa wa maduka (mall) Arusha.