Kitaifa BEI MPYA ZA MAFUTA By TBC - May 3, 2022 0 254 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza mpya za mafuta ambazo zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 4 Mei 2022. EWURA imesema asilimia 93 ya ongezeko la bei limechangiwa na mabadiliko ya bei katika soko la dunia.