Kitaifa Balozi mpya Zambia By Clement Silla - July 20, 2022 0 139 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Rais Samia Suluhu Hassan amempangia kituo Balozi Luteni Jenerali Mathew Mkingule, ambapo anakwenda kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zambia.