Balozi Ibuge aapishwa kuwa Katibu Mkuu Mambo ya Nje

0
256

Rais John Magufuli amemuapisha Balozi Kanali Wilbert Ibuge kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Rais Magufuli amemuapisha Balozi Ibuge Ikulu jijini Dar es salaam, kufuatia uteuzi alioufanya katika siku za hivi karibuni.