BAKITA yakemea Habari Mpasuko

0
141

Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) limekemea matumizi ya neno ‘Habari Mpasuko’ linalotumiwa na baadhi ya vyombo vya habari nchini kwa maana ya ‘Breaking News’.

Katika taarifa yake BAKITA imesema, matumizi ya neno hilo si fasaha wala sanifu, hivyo imeelekeza neno hilo litumike kama ‘Habari za hivi Punde’.