Afrika yatakiwa kutumia rasilimali zake kujiletea maendeleo

0
387

Rais John Magufuli amezitaka nchi za Bara la Afrika, kutumia rasilimali zilizonazo katika kujiletea maendeleo.

Rais Magufuli ametoa kauli hiyo Ikulu jijini Dar es salaama wakati akihutubia Jukwaa la viongozi wa Afrika.