Zoezi la utambuzi wa watu waliokufa baada ya mlima wenye volkano hai ulioko katika kisiwa cha White Island nchini New Zealand kulipuka mwishoni mwa wiki linaendelea.
Watu watano walikuwa mara baada ya mlima huo kulipuka wengi wao walikuwa ni watalii, waliokuwa chini ya mlima huo, huku wengine ishirini wakiwa hawajulikani walipo.
Watu zaidi ya arobaini walikuwa katika eneo la mlima mara baada ya kutokea kwa mlipuko.
