Kimataifa Wakuu wa nchi za EAC wakutana By Emmanuel Mmmasie - February 4, 2023 0 178 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Rais Samia Suluhu Hassan akiwa na baadhi ya wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki katika mkutano maalum wa 20 wa wakuu hao wa nchi za EAC unaofanyika Bujumbura, Burundi.