Kwa mara nyingine, Waasi ambao inasemekana ni kutoka katika Kikundi cha Allied Democratic Forces (ADF), wamefanya mashambulio kwenye mji wa Beni uliopo katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC) na kusababisha vifo vya watu Kumi na Tisa.
Waasi hao wamewashambulia Raia, baada ya kushiriki kwenye maandamano ya kupinga uwepo wa Majeshi ya kulinda amani ya Umoja wa Mataifa huko DRC, kwa madai kuwa Majeshi hayo yameshindwa kuwalinda Raia.
Raia wa DRC wamekasirishwa kuona Majeshi hayo ya kulinda amani ya Umoja wa Mataifa yakishindwa kuchukua hatua madhubuti, mara Waasi wanapowavamia na kuwaua.
Sign in
Welcome! Log into your account
Forgot your password? Get help
Password recovery
Recover your password
A password will be e-mailed to you.