TBC katika mkutano wa pili Russia-Afrika

0
345

Mkuu wa Kitengo cha Mipango na Maendeleo kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Nestory Madirisha akimwakilisha Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo Dkt. Ayub Rioba Chacha katika mkutano wa pili wa kilele baina ya wakuu wa Nchi na Serikali kutoka mataifa ya Afrika na Russia unaofanyika St. Petersburg nchini Russia.

Kaa karibu na mitandao yetu ya kijamii ya ‘TBC online’ kwa taarifa mbalimbali (Live Updates) za mkutano huo