Rais wa Zamani wa Ghana afariki dunia

0
224

Rais wa zamani wa Ghana Jerry Rawlings amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 72.

Taarifa za kifo chake zimethibitshwa na rais wa sasa Nana Akufo-Addo. Wiki iliyopita alilazwa katika Hospitali ya Korte Bu Teaching katika mji mkuu wa Ghana Accra, baada ya kuugua kwa muda mfupi.