Rais wa China Xi Jinping atembelea Korea ya Kaskazini kwajili ya mkutano na Rais wa nchi hiyo Kim Jong-Un, Maelfu ya watu walijitokeza kumkaribisha Rais Xi
Baada ya mkutano uliofanyika na Kim na Rais wa Marekani Donald Trump kumalizika Februari bila makubaliano yoyote juu ya kuhusu utengenezaji wanyuklia.
Mpango ya nyuklia wa Korea Kaskazini unatarajiwa kuwa moja katika mada zitakazojadiliwa kati ya kiongozi wa nchi hiyo Kim Jong-Un na rais wa China Xi Jing Ping katika mkutano wao mjini Pyong Yang.
Viongozi wote wawili sasa wana migogoro tofauti na Marekani – China inkiwa ni juu ya biashara na Korea ya Kaskazini juu ya silaha za nyuklia.
