Rais Samia kanisani Westminster Abbey, Uingereza

0
490

Rais Samia Suluhu Hassan, leo anaungana na viongozi mbalimbali duniani kwenye kanisa la Westminster Abbey huko nchini Uingereza, inapofanyika ibada ya mazishi ya Malkia Elizabeth II.

Takribani viongozi na watu mashuhuri mia tano kutoka nchini Uingereza na nje ya nchi hiyo wanashiriki katika ibada hiyo.