Nimrod Mkono afariki dunia

0
222

Aliyewahi kuwa Mbunge wa jimbo la Musoma Vijijini mkoani Mara na Wakili maarufu nchini Nimrod Mkono amefariki dunia hii leo.

Mdogo wa Marehemu Zadock Mkono amethibitisha kutokea kifo cha kaka yake
mapema hii leo nchini Marekani.