Kimataifa Mugabe afariki dunia By Judith Ene Laizer - September 6, 2019 0 255 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Rais wa zamani wa Zimbabwe, – Robert Mugabe amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 95. Mugabe amefariki dunia nchini Singapore alipokua akipatiwa matibabu. Ameiongoza Zimbabwe kuanzia mwaka 1980 mpaka mwaka 2017.