Kimataifa MKUTANO WA WAFANYABIASHARA WA TANZANIA NA MAREKANI By TBC - September 23, 2021 0 191 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Rais Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye mkutano wa pamoja kati ya Wafanyabiashara wa Tanzania na Marekani, ambapo amesisitiza kuimarishwa kwa biashara kati ya mataifa hayo. Mkutano huo umefanyika jijini New York nchini Marekani.