Waasi la ISIL wamekiri kuhusika na mashambulio mawili katika mji mkuu wa Iraq, – Baghdad.
Habati kutoka mjini Baghdad zinaeleza kuwa mashambulio hayo yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 30 na wengine zaidi ya mia moja kujeruhiwa.
Mashambulio hayo yaliyofanyika katika eneo la soko linalotumiwa na watu wengi, yanaelezwa kuwa ni mabaya zaidi kutokea kwenye mji huo katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni.