Kimataifa Majaliwa azungumza na balozi wa Qatar By TBC - November 2, 2022 0 623 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na na Balozi wa Qatar nchini Hussein Bin Ahmad Al Homaid, ofisini kwake Oysterbay mkoani Dar es Salaam.