Kimataifa Jenerali Mabeyo aanza ziara Rwanda By TBC - August 24, 2021 0 287 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Venance Mabeyo, ameanza ziara ya kikazi nchini Rwanda, lengo likiwa ni kuimarisha ushirikiano wa muda mrefu kati ya mataifa hayo. Ziara hiyo ya Jenerali Mabeyo itahitimishwa tarehe 26 mwezi huu.