Iran imerusha makombora zaidi ya 10 yaliyolenga Majengo ya Marekani yaliyopo Kaskazini mwa Iraq zikiwemo Kambi za Ain al-Asad na Ebil
Baada ya mashambulizi hayo Iran imeonya kufanya mashambulio zaidi iwapo Marekani itafanya shambulio jipya
Rais wa Marekani Donald Trump amesema hii leo atatoa kauli rasmi