Heshima za mwisho za majenerali wa Jeshi la Ethiopia

0
302

Shughuli ya kutoa heshima na kuaga miili ya majenerali wawili wa Jeshi la Ethiopia waliouwawa kufuatia jaribilo la mapinduzi lililoshindwa nchini humo inafanyika leo mjini Addis Ababa.

Waziri mkuu wa Ethiopia Abi Ahmed pamoja na viongozi mbalimbali wa serikali na jeshi la nchi hiyo wamejumuika pamoja kutoa heshima za mwisho kabla ya kufanyika kwa maziko ya majenerali hao hapo kesho.

Majenerali hao, akiwemo anayedaiwa kuwa kinara wa jaribio hilo la mapinduzi  lililofanyika siku jumamosi iliyopita ,Asamnew Tsige aliuwawa kwa kupigwa risasi hapo jana katika eneo la Bahir Dar nchini humo.