Eswatini yatangaza kuwa na mgonjwa wa corona

0
606

Mgonjwa wa kwanza wa homa ya virusi vya corona amegundulika nchini Eswatini.

Mgonjwa huyo anakuwa wa pili kugundulika Barani Afrika, baada ya Misri kuwa nchi ya kwanza kutangaza hapo jana kuwa na mgonjwa wa aina hiyo.