Donald Trump arejea ikulu

0
273

Rais wa Marekani, Donald Trump ameruhusiwa kutoka hospitali ya kijeshi ya Walter Reed ambapo alikuwa anapatiwa matibabu ya corona kwa siku tatu na kurejea Ikulu.

Trump anatarajiwa kubaki Ikulu kwa muda na hatoruhusiwa kujichanganya na watu.