China yatakiwa kuacha uchokozi

0
223

Marekani imeionya China kuwa hatua yoyote ya kichokozi itakayofanywa na nchi hiyo dhidi ya nchi ya Philippines itasababisha Marekani kuchukua hatua kali na za haraka dhidi ya China.

Mahakama ya Kimataifa ilitoa hukumu inayoeleza kuwa China ilikiuka sheria za kimataifa baada ya kuingia katika eneo la bahari ambalo ni mali ya Philippenes, lakini nchi hiyo imekuwa ikidai kuwa eneo hilo ni mali yake.

Mataifa hayo mawili kwa muda mrefu yamejikuta katika mgogoro wa mpaka, na wakati mwingine kutishiana kushambuliana,