Kimataifa Benzema Astaafu Soka la Kimataifa By TBC - December 19, 2022 0 131 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Karim Benzema ametangaza kutundika daluga kuichezea timu ya Taifa ya Ufaransa. Benzema amecheza michezo 97 na kuifungia Ufaransa magoli 37, na sasa rasmi amestaafu.