Belarus ipo tayari kwa mazungumzo

0
354

Serikali ya Belarus imeanza kuwaachia watu walioshikiliwa kwa tuhuma za kufanya vurugu na kuandamana wakipinga matokeo ya uchaguzi wa Rais yaliyofanyika wiki iliyopita nchini humo.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Belarus amesema serikali iko tayari kwa mazungumzo ili kumaliza ghasia zilizozuka nchini humo baada ya uchaguzi.