Wizkid ashinda tuzo

0
1890

Wizkid ameshinda tuzo kubwa za Marekani za Soul Train Music Awards 2019, Starboy ameshinda kipengele cha “Ashford & Simpson’s Songwriter Award” kupitia collaboration ya ‘Brown Skin Girl’ aliyoshirikishwa na Beyonce


Tuzo hii inamfanya Wizkid kuwa msanii wa kwanza wa Nigeria kushinda Tuzo hiyo huku ikiwa ni mara yake ya tatu kuchaguliwa kuwania tuzo hizo Kubwa za Marekani, Aliwahi kuchaguliwa kuwania tena tuzo hizo mwaka 2016.