Wasanii waendelea kupiga dili za tamthilia

0
1271

StarTimes imeendelea kutoa fursa kwa vijana wa maigizo, filamu na wenye uwezo wa kuingiza sauti za kiswahili kwenye tamthilia za nje baada ya kuzindua tamthilia ya radhia sultan itakayooneshwa kwa lugha ya kiswahili

Meneja Masoko David Malisa amesema, tamthilia hiyo ya Razia Sultan, imewakusanya pamoja wasanii mbalimbali nchini akiwemo Chuchu hansi, Godliver (Mayra) na wengine wengi ili kuipa ladha ya utamu wa kiswahili.