Tamasha la kuvishwa mataji washindi wa mikoa wa shindano la urembo wa kitalii, limefanyika usiku wa kuamkia leo jijini Dar es Salaam.
Hawa ndio washindi waliongoza kwa kushika nafasi ya kwanza kwa kila mkoa na sasa wanasubiri kuwania nafasi ya Kanda kuanzia mwezi ujao (Novemba).