Filamu ndefu ya kihistoria ya miaka ya 50, Vuta N’Kuvute (Tug of War), iliyosadifu riwaya ya Adam Shafi itazinduliwa rasmi kwa mara ya kwanza kimataifa Septemba mwaka huu kwenye Tamasha la Kimataifa la Filamu Toronto (TIFF)
Itakuwa ni historia kwani kwa mara ya kwanza tangu tamasha hilo tangu lianze kusherehekewa miaka 46 iliyopita, ndio filamu ndefu kutoka Tanzania inatazamwa.
Je! unakumbuka nini kwenye Riwaya ya “Vuta N’ Kuvute?