Huu ndio ulikua muonekano wa Mwanamuziki Faustina Charles Mfinanga aka Nandy aka The African Princess, katika harusi ya dada yake Celine Mfinanga iliyofanyia mwishoni mwa Juma lililopita, huku Mshereheshaji akiwa MC Pilipili, na Billnass naye akihudhuria.