Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @OfficialNandy amemtambulisha rasmi msanii wake mpya ‘Yammi’ kwenye Record Lebo yake ‘The African Princess’, ambayo lengo lake ni kuinua vipaji vya wasichana tu.
Yammi ametambulishwa na ujio wa EP yake mpya ya ‘Three Hearts Ep’ ambayo ina nyimbo tatu
Yammi – Hanipendi
Yammi – Namchukia
Yammi – Tunapendezana