Mrembo wa Dunia apatikana

0
1262

Mshindi wa mashidano ya urembo ya Miss World 2019 ni Toni-Ann Singh kutoka JAMAICA ??
na nafasi ya “1st Runner up” kashinda mrembo kutoka Ufaransa ?? wakati nafasi ya “2nd Runner up” kashinda mrembo kutoka India ??

missworld2019