Miss Tanzania akabidhiwa bendera ya Taifa

0
1718

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dr. Harrison Mwakyembe amemkabidhi bendera ya Taifa Miss Tanzania 2019/2020 Sylvia Sebastian

Kukabidhiwa kwa bendera hiyo ni ishara yakuwa Sylvia sasa ni mwakilishi wa Tanzania katika mashindano ya urembo ya dunia yani Miss World 201o yatakayo fanyika tarehe 14/12/2019 jijini LONDON

Sylvia ataondoka tarehe 20 /11 /2019 kwenda kuwakilisha Taifa la Tanzania katika mashindano hayo makubwa ya Urembo duniani