Burudani Misemo iliyobamba 2022 By TBC - December 27, 2022 0 188 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Misemo ni sehemu ya maisha ya jamii, ambapo huzuka na hupotea baada ya muda fulani. Mwaka 2022 imezuka misemo mingi, hii ni baadhi tu ya iliyojipatia umaarufu zaidi. Unaweza kuongeza msemo mwingine ambao unaukumbuka.