Mrembo kutoka Kenya @rennie_quin ashinda taji la Miss Africa Calabar 2019.
Nafasi ya “1st runner up” mshindi katoka Angola na “2nd runner up” yashinda South Africa.
Kukamilisha tano bora washindi ni Algeria na Congo wakati kumi bora washindi ni Botswana ,Ghana ,Nigeria , Tanzania na Zimbabwe.
Hongera Tanzania mrembo wetu kaingia katika ushindi wa kumi bora @callme.presh Hongera kwa Kupeperusha bendera ya Tanzania.