Burudani Jay-Z apata zaidi ya wafuasi 1M Instagram ndani ya saa mbili By Judith Ene Laizer - November 3, 2021 0 3363 Share FacebookTwitterWhatsAppLinkedin Mwanamuziki kutoka Marekani Rapa @jayz ameamua kujiunga rasmi na mtandao wa Instagram. Hadi sasa ukurasa wa @jayz umefanikiwa kupata Followers milioni moja ndani ya saa mbili. Katika account hiyo Jay-Z amemfollow mke wake @beyonce tu.