Diamond kusikika kwenye album mpya ya Alicia Keys

0
327

Mwamuziki kutoka Marekani Alicia Keys @aliciakeys , ameachia orodha ya nyimbo ‘Track List’ ambazo zipo katika album yake mpya aliyoipa jina la “ALICIA”

Album hiyo ambayo itakuwa album ya 13 kutoka kwa mwanadada huyo na album yake ya kwanza ndani ya miaka mitatu tangu alipoachia album yake ya “Dirty Dancing 2” mwaka 2017, inatarajiwa kuwafikia mashabiki wake September 18 na ina jumla ya nyimbo 15.

Ndani ya album ya “ALICIA ” nyimbo 8 ni zake mwenyewe na nyimbo 7 amewashirikisha wasanii mbali mbali akiwemo mwanamuziki mzawa wa Tanzania, Diamond Platnumz katika wimbo uitwao ‘Wasted Energy’.

Hizi ndizo nyimbo zilizopo katika Album ya “ALICIA “

  1. Truth Without Love ⁣
  2. Time Machine ⁣
  3. Authors of Forever ⁣
  4. Wasted Energy Ft. @diamondplatnumz ⁣
  5. Underdog ⁣
  6. 3 Hour Drive Ft. @sampha
  7. Me x 7 Ft. @tierrawhack ⁣
  8. Show Me Love Ft. @miguel ⁣
  9. So Done Ft. @thegr8khalid ⁣
  10. Gramercy Park ⁣
  11. Love Looks Better ⁣
  12. You Save Me Ft. @snohaalegra ⁣
  13. Jill Scott Ft. @missjillscott ⁣
  14. Perfect Way To Die ⁣
  15. Good Job