Chris Brown rasmi amtambulisha mtoto wake

0
1282

Chris Brown ameweka wazi sura ya mtoto wake wa kiume na Mwanamitindo Ammika Harris aliepewa jina la Aeko Catori Brown.

Chris Brown ametumia kurasa zake za mitandao ya kijamii leo kwa kuposti picha mbalimbali za mtoto wake

Aeko’ ni mtoto wa pili kwa Chris Brown akifatana na binti yake Royalty Brown mwenye umri wa miaka mitano