Treni Kutoka Tanzania Kwenda Zimbabwe

0
3286

https://www.youtube.com/watch?v=IIhWNE4aspw&feature=youtu.be

Treni ya kwanza yenye mabehewa 22 na Tani zaidi ya Elfu Moja za mahindi yaliyouzwa na Tanzania kwa Serikali ya Zimbabwe imeondoka kuelekea Harare, huku ikielezwa kuwa, Tani zaidi zitaendelea kusafirishwa.