Benki ya watu wa Zanzibar(PBZ) imeanzisha huduma ya kubadilisha fedha katika matawi yake yote nchini.

0
383

Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ, -Juma Ameir Hafidhi amesema kuwa mteja anayehitaji huduma hiyo ni lazima awe na kitambulisho na baada ya kupatiwa huduma hiyo ni lazima apatiwe risiti.