Mugabe afariki dunia

0
256

Rais wa zamani wa Zimbabwe, – Robert Mugabe amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 95.


Mugabe amefariki dunia nchini Singapore alipokua akipatiwa matibabu.

Ameiongoza Zimbabwe kuanzia mwaka 1980 mpaka mwaka 2017.