Safari ya Airbus 220 – 300 kurejea nyumbani

0
199

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Masharìki Dkt Damas Ndumbaro ambaye pia ni Wakili, akiwa na Wanasheria na viongozi mbalimbali waliokuwa nchini Afrika Kusini kufuatilia suala la kushikiliwa kwa ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL), wakiwa njiani kurejea nyumbani na ndege hiyo.

Ndege hiyo aina ya Airbus 220 – 300 iliyokua ikishikiliwa kwa muda wa wiki Mbili nchini Afrika Kusini, imeachiliwa hii leo kwa amri ya mahakama ya Gauteng.